Paroles de Mtaa
...
Paroles de Mtaa Par IBRAAH
Oya wee oya
Kama kama nimetoroka milembe
Oya we, ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbali (mbalii mbalii)
Ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbalii (mbalii oya wee)
Me mtoto wa mtaani
Nimekulia mtaani
Umenilea mtaa
Me mtoto wa mtaani
Nilokuwa kwa vyakula vya misaada
Hali yangu ngumu mwenyewe ndio najua
Sio kwa mama, sio baba
Imani yangu hakuna aliezaliwa anajua
Anaegawa ni mungu baba
Nilikula vile wanavyo vibagua
Sio mapiza wala mabaga
Story ya maisha yangu
Si sawa na muonekano wangu
Mengi niliyo yapitia mwanangu
Jalala lilikuwa geto langu
Story ya maisha yangu
Ina hudhunisha mwanangu
Ndio maana chako chako changu changu
Usikie mbele ya riziki yangu
Mi mtoto wa mtaani
Oya nimekulia mtaani
Oya umenilea mtaa wee
Me mtoto wa mtaani
Oya nimekulia mtaani
Oya umenilea mtaa wee
Me ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbali (mbalii mbalii)
Ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbalii (mbalii oya wee)
Me mtoto wa mtaani
Nimekulia mtaani
Umenilea mtaa wee
Me mtoto wa mtaani
Nimekulia mtaani
Umenilea mtaa wee
Life lina motivate
Na kwenye mchezo ni ku sweat
Wakusaka hela
Zipo japo sio billgate
Ndio zinafanya nigga wanakwua wet
Mwende mpela mpela
Mwende mpela mpela
Ananikumbusha mbalii
Enzi za kuvizia ugali
Usiku ,nilikesha nikisali
Nilipofika mpaka leo ni kama zari, oya weeh
Mi mtoto wa mtaani oya
Nimekulia mtaani
Umenilea mtaa wee
Me mtoto wa mtaani
Nimekulia mtaani
Umenilea mtaa wee
Me ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbali (mbalii mbalii)
Ananikumbusha mbalii (mbalii mbalii)
Me nakumbuka mbalii (mbalii)
Ecouter
A Propos de "Mtaa"
Plus de Lyrics de IBRAAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl