Paroles de My Morning
Paroles de My Morning Par GRIPA MUSIC
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
This is my morning yeah
Giza nene, usiku mrefu nimechoka
Ukatuma neno neno lako, kuwa nuru
Nuru imetawala giza imekimbia
Utukufu wa Baba umenishukia
Mauti mashtaka vyote havipo tena
It's my morning, my morning
Amenivika taji la maua
Amenipaka mafuta ya furaha
Badala ya maombolezo
Vazi la sifa siwezi hata kuelezea
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
This is my morning
Why am here ka si kazi mie
Nayo kusi usizuie
Follow blessing follow me
Mashariki magharibi
Nchi nayo yatetemeka
Ametamalaki yeah yeah
It's my morning
Baraka zako hazina majuto
Umefungua mito vijito
Bwana wanishangaza
Mwizi haji ila aibe na kuchinja
Ila ulikuja tu na uzima
Tuwe nao tele
Mungu mshika agano
Ni yeye kweli nimetoka mashakani
Akisema anatekeleza
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
This is my morning yeah
This is my morning yeah
This is my morning yeah
Nuru imeshaniangazia
Ecouter
A Propos de "My Morning"
Plus de lyrics de l'album The Message
Plus de Lyrics de GRIPA MUSIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl