Paroles de Mama
Paroles de Mama Par B2K MNYAMA
Oooh yeah
(Starbeat boy)
Licha ya dunia kuwa ina mengi mama
Ila mwanao nina kumiss sana
Mwanao umaarufu nfo unaanza mama
Kilio nahanagika waniongoze vyema
Naskia umaarufu ndo unaponza ujana
Nitajitahidi niutumie vyema
Ukisema yes siku moja
Najua mambo mengi yatanyooka
Nikumbuke na mwanao siku moja
Ya dunia yako mengi nayaona
Sema hata neno la mwisho mama wee
Ah, kwa wengine ni furaha ila kwangu ni kilio
Ukuaji wangu changamoto
Haikuwa rahisi aisee
Ila shukurani kwa ndugu
Upendo ulifanana nawee
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Mnavyofanya maombi huko
Mniombee na mimi
Mzitume nafsi na roho
Zikae na mimi
Naona wengi wakiwatesa
Mama zao bila huruma ee
Hawakumbuki walikotoka
Mimi sana roho inaniuma ee
Japo kuna watu walitaka nife nizikwe
Ila bado napumua naomba
Niepushe na roho za baya, wasio na haya
Kwenye kazi mi nipige tour
Ukisema yes siku moja
Najua mambo mengi yatanyooka
Nikumbuke na mwanao siku moja
Ya dunia yako mengi nayaona
Sema hata neno la mwisho mama wee
Ah, kwa wengine ni furaha
Ila kwangu ni kilio
Ukuaji wangu changamoto
Haikuwa rahisi aisee
Ila shukurani kwa ndugu
Upendo ulifanana nawee
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Nikwambie, ya dunia yanaumiza sana
Nikwambie, na baba aliondoka mama
Nikwambie, na dada alofuata jamaa
Ni kama mnakutana
Ecouter
A Propos de "Mama "
Plus de Lyrics de B2K MNYAMA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl