Paroles de Nimekubali
...
Paroles de Nimekubali Par B2K MNYAMA
Kuwa na yeye
Tufike mbali
Mimi na yeye
Oyaah si eti eeh
Ooooooh
Star big boy
Aaaaaah
Anaponishika
Napagawa
Naburudika
Apo sawa aah
Na mwisho nafika
Bila dawa
Niuwakika apo sawa aah
Mmh alo
Nimeambiwa napendwa
Kila kitu uakika basi naringa
Mmh nikideka ananinyosha
Kila kitu uakika nanenepa
Aaaah mmh aah
Napwendwa
Sina mwingine anajua
Mimi niko na yeye tu
Mmh aah me napwendwa
Sina mwingine anajua
Mimi niko na yeye tu
Nimekubali
Kuwa na yeye
Tufike mbali
Mimi na yeye
Nimekubali
Kuwa na yeye
Tufike mbali
Mimi na yeye
Baby kwako
Me ndipo nilipo
Kubusu mapenzi
Nijukumu lako
Maana kwako
Me ndipo nilipo
Kubusu mapenzi
Nikibondende wako
Ati najiona mbali na wewe
Usiunguze picha
Me wako ntadili na wewe
Wewe ndo wangu wa future
Oyaa nainua bango am not single
Mkiniona na mtu mjue nashoot wimbo
Napost intra ama uko tiktok
Oyaa nainua bango am not single
Mkiniona na mtu mjue nashoot wimbo
Napost intra ama uko tiktok
Kwenye moyo wangu napwendwa
Sina mwingine anajua
Mimi niko na yeye tu
Napwendwa
Sina mwingine anajua
Mimi niko na yeye tu
Nimekubali
Kuwa na yeye
Tufike mbali
Mimi na yeye
Nimekubali
Kuwa na yeye
Tufike mbali
Mimi na yeye
Ecouter
A Propos de "Nimekubali"
Plus de Lyrics de B2K MNYAMA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl