Paroles de Yote Yote
Paroles de Yote Yote Par B2K MNYAMA
Starbeat boy
Ona sasa umenipa mapenzi najiamini
Oh natamba umefungwa dunia yangu mimi
Mapenzi karata umechanga na joker umenipa mimi
Naenjoy sasa ma x niwakumbuke wanini
Wanatutumia fataki tunapangua twacheka cheka
Penzi liko mwendokasi kifua lalia ma baby deka
Yaani I wish uwe ndani ya shela nichape suti na mie nitambe
Waliojua ntambwela tuwape viti wabaki wapambe
My baby nipe taratibu (yote yote)
Uninimudu (yote yote)
Nipe taratibu (yote yote)
Unanimudu (yote yote)
My baby nipe taratibu (yote yote)
Uninimudu (yote yote)
Nipe taratibu (yote yote)
Unanimudu (yote yote)
Baby sema tuanzie wapi tukakae wapi unapopendelea
Iwe sinza masaki mambo safi baby semelea haupendi joto
Ntaingia kati niifanye kazi ya kukupepelea
Niko kando siwapi nafasi vikaragosi ya kukusogelea
Haitoshindikana ah si kuishi pamoja
Niahidi nawe basi tuna lengo moja
Yaani i wish uwe ndani ya shela nichape suti na mie nitambe
Waliojua ntambwela tuwape viti wabaki wapambe
My baby nipe taratibu (yote yote)
Uninimudu (yote yote)
Nipe taratibu (yote yote)
Unanimudu (yote yote)
My baby nipe taratibu (yote yote)
Uninimudu (yote yote)
Nipe taratibu (yote yote)
Unanimudu (yote yote)
Ecouter
A Propos de "Yote Yote"
Plus de Lyrics de B2K MNYAMA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl