EL CHARJI Time Itatell cover image

Paroles de Time Itatell

Paroles de Time Itatell Par EL CHARJI

Yooh
They dunno

Yoh Acha haters wahate Kitu nko sure they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best
Acha haters wahate Kitu najua they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best

10A nikishtuliwa na dagga Nafika Kwa scene na nachafuliwa rada
Niko grind na Bado wanalala Checking tha stats wakishuka napanda
Cheki live life with a purpose Kila siku ni God amepanga
Cheki live life with a purpose Give thanks ukikosa ukipata
Kitu ntaka ni power Na Ii drill marapper inafaa tuende harder
God said we're special but Bado Kuna fala mahali anathink kujijimada
make your choices right struggle for light
At the end utajipata uko higher
make your choices right struggle for light
At the end utajipata uko higher
On roads ki formula 1 Unaezadhani nko bumper to bumper
Top shotta napop Io can Hii ni mixture ya ganja na hunters
On roads ki formula 1 Unaezadhani nko bumper to bumper
Top shotta napop Io can Hii ni mixture ya ganja na hunters

Acha haters wahate Kitu najua they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best
Acha haters wahate Kitu najua they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best

Kwa streets me ni G ka poloo Born 2004 and am proving them Rong
SI normal uko msoto na general meakings Ndo vitu unashika
Kwa mboto Still young na anadai Ako dope
Easy kicks na anadai Ako on top
Na tangu nileak my digits tenje imehang ju messo zimepop
Bae wake alisepa abroad Ju alkua anamtreat ka mtoto
Alimix konyagi na video
Na Bado akadai kula moto
Me ni rapper na sitoki umoroto
Breako ni burger Sitambuangi local Nko all sides east west
Korogocho Nkitrace izi doh staki story za msotoo
Si wao bana ni sisi Ju Kwa hio page tumepigwa matick
Me ni Rong kijana kamili Design me huspit wanaogopa kudiss
Si wao bana ni sisi Ju Kwa hio page tumepigwa matick
Me ni Rong kijana kamili Design me huspit wanaogopa kudiss

Acha haters wahate Kitu najua they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best
Acha haters wahate Kitu najua they dunno the fate
Kama kawa ni time itatell
Even God knows am trying my best

Ecouter

A Propos de "Time Itatell"

Album : Time Itatell (Single)
Année de Sortie : 2022
Ajouté par : El Charji
Published : Aug 09 , 2023

Plus de Lyrics de EL CHARJI

EL CHARJI
EL CHARJI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl