PAPI CLEVER & DORCAS Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora cover image

Paroles de Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora

Paroles de Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora Par PAPI CLEVER & DORCAS

Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima
Zaniletea amani tele, na mibaraka daima
Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Makimbilio ni mwamba huo katika teso lo lote
Nisikimbie adui ‘kuu, nishinde katika vyote
Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Nakaa mbali ya udhalimu, hatia, dhambi, hukumu
Na kwa imani nikisimama, adui atakimbia
Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Nafurahia baraka zote za ulimwengu wa roho
Karama hizo nalizipewa katika kufa kwa Yesu
Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele

Ecouter

A Propos de "Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora"

Album : Mwokozi Wangu Ni mMwamba Bora (Single)
Année de Sortie : 2023
Ajouté par : Farida
Published : Aug 10 , 2023

Plus de Lyrics de PAPI CLEVER & DORCAS

PAPI CLEVER & DORCAS
PAPI CLEVER & DORCAS

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl