Paroles de Achoo
Paroles de Achoo Par DJ DEKLACK
Leo nakuchipo ai, kula makrisla
I say mamii utanifreeze
Nina mashida una mariz
Sichomangi mimi ka si matreee
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
Vile niko wada hii walai hii ni aichoo
Achoo achoo achoo
Vile nimenyanya aki walai hii ni achoo
Achoo achoo achoo
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
Usitry kutufrisk tuko mbachu
Na hatujai ogopa kurisk tuko roho juu
Huku ndani si kumefreeze tuko ma achoo
Homa homa tunazichomaga na boza
Na tuko na wa she she she
And they wanna be with me me me
Nasema sawa I got you, I got you again
Bas pitisha hio gomba tuchonge
Nusu lita ya Sprite toboa na ibambe
Bas pitisha hio gomba tuchonge
Nusu lita ya Sprite toboa na ibambe
Bars nyingi shinda Nairobi West
Combined Pipu
Mafine fine boo wako
Yoh si ukam ubuy brew
Rap tycoon wakicash na cash times two
Leo nakuchipo ai, kula makrisla
I say mamii utanifreeze
Nina mashida una mariz
Sichomangi mimi ka si matreee
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
Vile niko wada hii walai hii ni aichoo
Achoo achoo achoo
Vile nimenyanya aki walai hii ni achoo
Achoo achoo achoo
Leo mi nasneeze niko achoo
Achoo achoo achoo
--
--
Ecouter
A Propos de "Achoo"
Plus de Lyrics de DJ DEKLACK
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl