DAVID WONDER Za Baba cover image

Paroles de Za Baba

Paroles de Za Baba Par DAVID WONDER


Ni David Wonder na Mr Seed again
(Alexis on the beat)

Mimi nangoja baraka za
Baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba
Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)

Ukiinuliwa na mwanadamu 
Atakushusha chini tena
Na mambo yako sio ya siri tena
Ju ni yeye tu atazunguka akikusema
So niache tu nimtegemee wa nehema

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Mimi nangoja baraka za
Baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba
Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)

Ata nikifunga macho ni baraka naziona tena
Na ya kwanza ni kwamba, umeniamsha mapema
Na ya pili nakiri, we ndo Alfa Omega
Na ya tatu ya nne na ya tano
Sijawahi omba mkate ukasema no
Uko nami milele, yes I know
Wowowuwo yeah

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Mimi nangoja baraka za
Baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba
Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Nimemuona toka kitambo
Akiahidi ye hufanya mambo
Na hajawai niangusha bado
Bado, bado

Mimi nangoja baraka za
Baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba
Baraka za, baraka za baba(Za Baba, za Baba)
Ooooh zako Yesu(Za Baba, za Baba)

Na ya tatu ya nne na ya tano
Sijawahi omba mkate ukasema no
Uko nami milele, yes I know
Wowowuwo yeah

Ecouter

A Propos de "Za Baba"

Album : Za Baba (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Feb 11 , 2020

Plus de Lyrics de DAVID WONDER

DAVID WONDER
DAVID WONDER
DAVID WONDER
DAVID WONDER

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl