Paroles de Chachisha
Paroles de Chachisha Par DAVID WONDER
Odi wa Yesu
(Alexis on the beat)
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Kuokoka ndio form tu, mtindo
Toka kitambo nikiwa form 2, limbo
Nikikatika pale F2, kwa window
Jaza jaba bigijii juu, Owino
Siku hizi sionekeni kwanza masunday
Ukinikosa mtaaani mi nakam monday
Tuko mahali kanisani sifa zipande
Neno tu, neno tu, hubiri hubire
Oooh nikampata Yesu, Amen
Tumaini letu, Amen
Nishampata, nishampata
Nishampata Yesu, Amen
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Nachachisha, Huruma mpaka Kitee
Nachachisha, huduma mpaka imee
Nachachisha, injili mpaka niwapee
Nachachisha, katembee katembee
Ka uko na chichi, chacha hapa
Hata jasho iwatoke kwa makwapa
Lazima Yesu ajulikane nishaapa
Neno itabidi niwape hapo nitawapata
Na round hii tunafikisha kwa madonda
Kwa nganya zao, spika zao zitagonga
Hata mitandao wapate kwa simu zao
Tukisonga nayo tuuu, juu
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Oooh nikampata Yesu, Amen
Tumaini letu, Amen
Nishampata, nishampata
Nishampata Yesu, Amen
Nikampata Yesu, Amen
Tumaini letu, Amen
Nishampata, nishampata
Nishampata Yesu, Amen
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Nachachisha, nachachisha
Injili kila kona nitafikisha
Ecouter
A Propos de "Chachisha"
Plus de Lyrics de DAVID WONDER
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl