Paroles de Kuna Kichwa
Paroles de Kuna Kichwa Par DANTEZ 254
Niko juu ya kilighter na kimbichwa
Morio unajigwesa kuwakisha
Mbogi inaongojea ka utapitisha
So rada safisha
Badder dan dem mambo kwisha
Mavo juu ya beat si unajua
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
[Exray]
Mangeus wakimuok
Ulalala ulalala
Kwani we hujui joke
Ulalala ulalala
Asalam ale, niko matei tei
Ata kama ni tra
Tuko na bae bae, unaeza kam le, le
Hata ka ni babe mmmh
Wagwaan badman bablican
Nataka hio nduru hata ka si firm
Ni laani ni caption na haikuwagi fan
Kuna kisplashing ka maddam
Bam bam chiki chiki bam bam
Beating naeza kuimbia mpaka riddim
Ting ting njiti tifi
There is a meeting in my bed, in my bed
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Dantez mi boy odinare
Tukipatana kwa chuom usinihande
Jina kubwa ka hujui si usare
Msupa nitakujengea hadi palace
We ni mrembo unakulanga nkini gware
Ka unadai nitakufikisha Kitale
Roho tip usijali nina license
Ushaniteka walai ka afande
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Nililelewa na ma wash and wear
I swear madush kuzimada na kiguto na ki fair
Makwela kuwakunywa design hauwezi compare
Si fair vile masoshi hunikwamilia
Ukimada tokens zitalia ti ti ti
Nina mandugu hapo Inda si Kamiti
Nilisema kabla fathela niandikwe kwa ofisi
Heri nikachorane matatu kwa mati
Si unikatikie eh eh eh
Nikuweke ndani ya ndege tusepepe
Kuja solo bila rende nde
Nikuspoil na usimee pembe mbe
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
Cheza ni kama unakuna kichwa
Uuu la la la la la la la
Ka unapendaga mamtoto
Uuu wa wa wa wa wa wa
We ni kachapati na ngwashe
Kwangu we ni porshe
Msupa aki woshe vyombo usizioshe
Inama nione ndani
Usiambie jirani si unajua ni ya nani
Ye huniitaga Messi
Keja nina gesi si twende nizipashe
Kiss tu nikuwashe
Story usizitaje kwa bedi nikufuate
Tupigane mate
Yule fala mwache yako niko thirsty
Ka kisima na maji
Worldboss ndio maanake
Alafu jo baade ni ka movie nde nde
Na ju ni usiku teren teren teren
(Mavo on the Beat ni kubata)
Ecouter
A Propos de "Kuna Kichwa "
Plus de Lyrics de DANTEZ 254
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl