CHEED Wandia  cover image

Paroles de Wandia

Paroles de Wandia Par CHEED


Wandia eh, wandia oh
Nina dukuduku rohoni
Wandia eh, wandia oh
Nisikilize makini

Namiliki bodaboda
Penye nia pana njia boo
Vidogo vimboga mboga
Najua unaumia vumilia tu

Vishilingi shilingi vipanie eh
Come on
Kopa kwa maji viunga roho tule 
Come on

Penzi ni tempo-po
Yamkini sitoipaka
Nitalilinda nitakesha popo
Tuuze bamia huku tukilala koko

Usijihisi navumilia mwendo wa pole (Pole pole)
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto (Pole)
Hali yetu vumilia ndo changamoto (Pole pole)
Iwe juani kivuli, baridi na joto

Baby pole pole

Tunajidunduliza
Maisha yetu duni oh duni
Na ninakusisitiza 
Uweke kibubuni, bubuni

Hata kwa debe la karanga
Ni muhimu kujipanga
Zawadi vitenge vikanga
Penzi letu kulichenga aah

Milima mabonde twapita
Chonde usije zima taa
Tone na tone ndo hujaza litre
Ndo vile

Kwa penzi letu roho zawapwita
Mama mapenzi vita 
Analopanga Mungu lapita
Ndo vile eh

Wangu my boo, my love
Twende kidogodogo my love
Kidogo my love
Twende kidogodogo my love

Penzi ni tempo-po
Yamkini sitoipaka
Nitalilinda nitakesha popo
Tuuze bamia huku tukilala koko

Usijihisi navumilia mwendo wa pole (Pole pole)
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto (Pole)
Hali yetu vumilia ndo changamoto (Pole pole)
Iwe juani kivuli, baridi na joto (Pole)

Baby pole pole

(Mocco Genius)

Ecouter

A Propos de "Wandia "

Album : Wandia (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Konde Music Worldwide
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Sep 29 , 2021

Plus de Lyrics de CHEED

CHEED
CHEED
CHEED

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl