Paroles de Futi Sita (Nikki Mbishi Diss)
Paroles de Futi Sita (Nikki Mbishi Diss) Par P MAWENGE
I'm the best rapper alive
And nobody can diss me
Especially in this country men
Nimeiskiza ngoma man your rap is too fake
Malalamiko mengi is what you can do best
Eti show unaekwa pending, pending for what?
Kila ukipewa unaboronga you ain't ready for that
Eti mabrother flani wanajaribu kuku-manage
Mi nawaonea huruma pesa zao wanazi-damage
You change names but I don't see your game changing
Kutwa uko bizi kujipachika the name is trending
Huna ngoma na Khaligraph, Vanessa na Collo
But still not coming up, ndo kwanza unago-low
Unatapa tapa unapapasa pa kupenya
Umedata hadi unachana kama rapper wa ki-Kenya
Kunishinda dharau ka kudundwa na gay
Bora nisirap nikaigize ka Kanumba na Ray
Kwanza kwa ngoma gani? Uliomdiss Kimbunga na Nay?
Labda hiyo ngoma maproducer wawe Dunga na Dre
Huna kovu hata moja, mchicha wali nazi
Eti unajighea usoja kwenye vita ya Benghazi
Unju hakuwaga boya unaaibisha kizazi
I will shoot you in the head if I was Hitler wa nazi
Ati king wa freestyle you never own the title
Ulishikwa ukatandikwa ukapelekwa home na sajo
You can't rap, you can't freestyle, you can't chill
Empty head, where did you put your them skills?
Sasa sijui ni bangi coz you were not smoking
Au ufanyiwe counselling men, I'm not joking (Serious)
Simama wima hustle kutafuta ma-cash
Ila ukitegemea mziki ndo utakufa na stress
Mashabiki mavi wasijekumpoteza best rapper
Ila kwangu men you'll still be the next after
Me know I'm blessed in rhymes and not to beg
Nipate show au nisipate men I woun't be dead
Pole kwako wewe unayelialia mpaka unapewa
Ukipanda jukwaani kumba tupu ulivyolewa
Ushamtukana kila mhusika kwenye tasnia
Yaani una laana nyingi sema tu hujajistukia
Mi siokotezi lines, mi na-write them down
Ila mwanangu unaunga unga sana stop it now
Eti Swicha baba, picha ya Casper , fvck
Taifa rasta men I was like what?
I ain't smoking like you
I'm not a rastaman nigga
My brain is clean
I fit to be a pastor my nigga
Mashabiki wako wengi ushawaboa ka hujui
Na ndo maana kazi zako hata ukitoa hawanunui
'Welcome to Gamboshi' was the worst song for life
Now you tryna diss the pro and it's straight outta trash
Nilipoiona kwanza nikashtuka nani huyu?
Ndo wimbo mgani anashoot chupa chini ya mbuyu
That's satanic mbona una-act kama umepanic?
Hate ass huna pederora spanish
Na leo juu ya miti unapandishwa kama monkey
Maana umejiponza kwa kupewa bichwa na mafans (Njoo njoo njoo)
Mashabiki zako gotta drunk for a king
Kodo macho rapper wao laying flat in the ring
Hili jukebox lenu I ain't putting my coin
Nyimbo zote zina scratch that's smooth I'm going
Cheki waliokuvumilia sababu ya kukufahamu sana
Leo walichobaki nacho ni dogo ni dhamana
Walishakupa chance ukaplay 'Jesus'
A nigga got a trip to SA now you are jealous?
Kumbe picha na Casper imegusa ma MC
Sai ingekuwa collabo men si ungekufa kwa BP
Eti nimuombe Casper collabo, nigga why?
Hivi unadhani Casper ni easy ka Pinda Bway
And after this kesho kutwa wala sishangai
Usiponipa 'Hi' tukikutana ukapita dry
Mimi nitakusabai nitakuambia 'Hi Nikki go'
Nimevamia kichaka leo the bad meets evil
Hili ni funzo kwako na kwa kila takataka
Now the good kid tryna be a killer mvthaf*cker
Unajitia umwamba kwa kupewa bichwa kwenye ganja
Sasa ita wote waje kukuzika unavyodanja
Na waliokupandisha walee, na wote wamekuchoka
Wanakuona mwehu kwenye kila mchongo wanakutosa
Funga domo men
Mimi sio rapper wa kukupa promo men
I'm 87 dogo nakupa somo men
Hivi mtu gani wewe usiyechoka kulalama
Yaani manung'uniko mengi kama mtoto asiye na mama
Hamna ndugu hapa people hearts cold as stones
Ka unataka kudekezwa just go back home Nigga!
Ecouter
A Propos de "Futi Sita (Nikki Mbishi Diss)"
Plus de Lyrics de P MAWENGE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl