Paroles de Marapa Mizigo (Freestyle)
Paroles de Marapa Mizigo (Freestyle) Par P MAWENGE
Marapa wale wanakimbia, rudi we rudi
See every rapper now is sweatin'
Like I switched off AC's
But truth wameniona real GOAT
The Voice of Afrika VOA kid
Am from the rap hood where Migos ain't shit
Ka unanimudu si uombe tushindanishwe
Nikunyuke nikugonge vikombe nikukalishe
Talk shit aboutr me ila uombe usikamatike
Nitakupiga ngumi ya kidakatonge nikutapishe
Am here for dough I don't do rap to impress
My Cleopatrah waiting for dat to bring cash
Am on a straight line no time for mistakes
Plus I give you ways and I don't ask for respect nigga
Mi niko real sio mikogo child
Najua shurba cheki ngozi ka ya crocodile
So nyi mnaringa na vya wafu fckn shobo guys
Watu wametafuta kwa jasho u'll get sodomized
Nishavurugwa sitaki blunder blunder now
Chapa makofi tu madogo na mabrother zao
Mawenge sio mtu wa kutaka taka madharau
Namuogopa Mungu sio vipaka paka na manyau
Mnanyweshwa tu pombe baa na maboss
Home mnajambia mashuzi vitambaa vya makochi
Eti nina hit song show wakiziandaa bado shoti
Timueni wote hao mkizubaa itawakosti
Marapa wanaomba pesa wanatamba pochi imechuna
Wakati ndani presha imepanda boss amenuna
Kila akivuta dili anapata shoti inabuna
Eti bado anajipa moyo ipo siku noti atavuna, nyoo!
Uwezo wangu sio wa kutegemea kiki
Pindi mnaegemea Insta mi nimeegemea street
Kwenu njaa kali hata kama unatembelea ki Vitz
Alichokuhonga yule kicheche ambaye anategemea ma dicks
Yaani uko ndani unajiremba unaji cream
Demu wako akamegwe ndipo akupe cheda ya kujikimu
Eti baby tuma pesa ndo nataka kwenda gym
Is that for real? Hebu acheni huo wenda wazimu
Ntatamba kuwa na push ride when I buy one
Nitasema kuwa you gon die when I buy a gun
Mnajipa moyo daily claiming you are the best
Why you telling on yourselves
Come and tell me on ma face nigga
Ecouter
A Propos de "Marapa Mizigo (Freestyle)"
Plus de Lyrics de P MAWENGE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl