Paroles de Sio Vibaya (Ex)
Paroles de Sio Vibaya (Ex) Par BUKI
Nakuombe ex wangukwa jabali
Akukinge na kilalenye shali
Akuepushe na mabwana matapeli
Mahusiano uliyonayo yafike mbali
Liwalo na liwe wa
Sawa naomba niwe rafiki yako
Usinichukie wala me sio adui yako
Naomba msalimie
Huyo aliyeteka moyo wako
Nilitamani niwe mie
Ila tatizon sina kipato
Na sio kwamba nilipenda nikutembeze
Ila uwezo wa gari ningepata wapi
Me sio kwamba nilipenda usipendeze
Uwezo wa mavazi ningeupata wapi
Na sio kwamba nilipenda nikukondeshe
Mlo wa raka tatu nigeupata wapi
( mamama mamama…)
Niambie wewe wengepata wapi
Sio vibaya
Nitembelee ghetto kila ukipata nafasi
Sio vibaa mara moja moja ukanitumia SMS
Sio vibaya
Japo nikipiga simu unampa yeye anapokea
Sio vibaya
Nikutuma meseji unampa yeye nachati nae
No no no no no no
Meseji nikituma unaziona ila hutaki kunijibu
Lipi nililokosa kipenzi tafadhali unijibu
Au masikini haturuhusiwi kupenda kipenzi nijibu
Nonono nonono toba yarabi mbona wani hadhibu
Tena ulinizaoesha vibaya
Season kunikodia wahindi nawa Korea
Na ulipenda nikikuimbia
Najua leo mwingine nakuimbia
Majua me mvinu wa kufua
Wasani nani atanifulia
Siku hizi ghetto limekuwajala
Na sio kwamba nilipenda nikutembeze
Ila uwezo wa gari ningepata wapi
Me sio kwamba nilipenda usipendeze
Uwezo wa mavazi ningeupata wapi
Na sio kwamba nilipenda nikukondeshe
Mlo wa raka tatu nigeupata wapi
(mamama mamama…)
Niambie wewe wengepata wapi
(
Sio vibaya (Sio vibaya mamama)
Sio vibaya
Sio vibaya
Sio vibaya, Sio vibaya nana lalalala
Lalalalalalala
Ecouter
A Propos de "Sio Vibaya (Ex)"
Plus de Lyrics de BUKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl