Paroles de Sina Neno
Paroles de Sina Neno Par TIMBULO
Zogo, kelele lawama nilizoea
Kila siku anakuja analia
Maneno nasikia
Rafiki zake wanasema
Mimi simfai kwa maisha
Ndugu jamaa wanasakama
Eti mi mhuni kabisa
Hawakujua unanipenda kiasi gani
Wasingedhubutu tenganisha
Sababu kwako kuishi ni mimi
Tukitengana takukosa
Si mi ndo nimekupa heshima
Hivi bado wananiona zero
Samaki bila ndimu mi nitachina
Okoa milinaodhawa yangu roho
Aah sina kinyongo nao
Ah nimewasamehe
Aah matabia zao
Aaah aaah
Sina neno, moyoni, sina neno
Na makosa yote nimefuta mi nimewasamehe
Sina neno, moyoni, sina neno
Na mabaya yao nimeyafuta mi nimewasamehe
Sikutolewa nyongo nayo
Natamani nijiwekee mipaka
Ila no roho mbaya sina
Wanadamu tunapishana upeo
Ndio maana yote nimeyafuta
Tena hata kinyongo sina
Na wakasema sina lolote
Nitakupa nini
Hatutofika popote
We ukasema
Mwendo wa chai na mkate
Umenishiba mimi
Wapi naenda nifuate ee
Nimeyabadili maisha yako nikakupa heshima
Hivi bado wananiona zero
Samaki bila ndimu mi nitachina
Okoa milinaodhawa yangu roho
Aah sina kinyongo nao
Ah nimewasamehe
Aah matabia zao
Aaah aaah
Sina neno, moyoni, sina neno
Na makosa yote nimefuta mi nimewasamehe
Sina neno, moyoni, sina neno
Na mabaya yao nimeyafuta mi nimewasamehe
Ecouter
A Propos de "Sina Neno"
Plus de Lyrics de TIMBULO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl