Paroles de Saluti
Paroles de Saluti Par ANISET BUTATI
Wale wale, na sema wale
Walio sema huwezi wale
Na sema wale
Walio kuvunja moyo wale
Na sema wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Wale wale, na sema wale
Wale wale, na sema wale
Walio kuvunja moyo wale
Na sema wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Unapo ianza safari
Unapo ianza safari
Ya jambo lolote
Wanainuka wengine
Wanakuvunja moyo
Wanainuka wengi
Wanasema huwezi
Wanakupa na mifano
Ya watu walio shindwa
Wanakupa na mifano
Ya watu walio shindwa
Ukiendelea kufanya
Watasama tuone atafika wapi
Ukipiga hatua kidogo
Watasama tuone atafika wapi
Usikate tama sababu hawajakutia moyo
Usikate tama sababu wamekuvunja moyo
Usikate tama sababu umeambiwa huwezi
Achana nao, ambao hawajuii
Ukubwa wa mungu unaemuabudu
Achana nao, ambao hawajuii
Uweza wa mungu unaemuabudu
Kupitia hilo mungu
Atakuinua mbele yao, hawata amini
Kupita hilo mungu
Atakubariki mbele yao hawata kubali
Wale wale, na sema wale
Walio sema huwezi wale
Na sema wale
Walio kuvunja moyo wale
Na sema wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Wale wale, na sema wale
Wale wale, na sema wale
Walio kuvunja moyo wale
Na sema wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Wale wale wale wale waleee
Jamani wale
Waliopanga vikao vya kushindwa kwako wale
Walio tabiri maanguko yako wale
Waliyocheka wakati wa mapito yako wale
Matendo makubwa atakayo kutendea mungu wataona
Kuinuliwa atakapo kuinua mungu wataona
Utakapo sogea step step wataona
Utakapo fanikiwa nakuzidi wataona
Wale waleee
Wale waleee
Na sema wale, wale
Wanao sema yatakushinda, wale wale
Kesho macho ya tawatoka, wale
Na sema wale, wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Wale wale, na sema wale
Walio sema huwezi wale
Wale, na sema wale
Watakupigia saluti
Kesho mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Ecouter
A Propos de "Saluti"
Plus de Lyrics de ANISET BUTATI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl