EDSON MWASABWITE Ni kwa Neema na Rehema cover image

Paroles de Ni kwa Neema na Rehema

Paroles de Ni kwa Neema na Rehema Par EDSON MWASABWITE


Hapa nilipo mimi
Ni kwa neema ya Mungu
Vile nilivyo mimi
Ni kwa neema ya Mungu
Nimetoka mba toka mba toka mbali nimetoka mbali
Ainuliwe Mungu wangu juu
Atukuzwe Mungu wangu juu
Ah ni kwa neema
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema
Sio kitu rahisi
Mungu tu anasaidia
Sio kazi nyepesi
Mungu tu anasaidia
Si kutegeme tegeme tegemea si kutegemea
Aunuliwe Mungu wangu juu
Asifiwe Mungu wangu juu
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema
Uzima ulio nao
Umepewa na Mungu
Uhai ulio nao
Umepewa na Mungu
Uwezo ulio nao
Umepewa na Mungu
Mali ulizo nazo
Umepewa na Mungu
Ebu jiuli jiuli juilize umetenda tendo gani jema
Asifiwe Mungu wangu juu
Atupaye vyovyote
Ni kwa neema tu
Neema
Na rehema
Neema

Ecouter

A Propos de "Ni kwa Neema na Rehema"

Album : Ni kwa Neema na Rehema (Single)
Année de Sortie : 2014
Copyright : ©2014
Ajouté par : Trendy Sushi
Published : Feb 29 , 2020

Plus de Lyrics de EDSON MWASABWITE

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl