Paroles de Stress
Paroles de Stress Par BALAA MC
Oh jamani niache nilewe ninastress mi
Nimeachwa na demu wangu nina stress mi
Niache nicheze nina stress mi
Napoishi ninadaiwa kodi nina stress mi
Niache nimwage nina stress mi
Nishavurugwa na maisha yangu nina stress mi
Mwache huyo dada anastress huyo
Ameachwa na bwana wake ana stress huyo
Kwenye swala la mapenzi sitaki kusikia
Nishachoka kuumizwa mi nishachoka
Bora nipende mziki tu kwenye dunia
Nishachoka kuumizwa mi nishachoka
Kwani we pilipili mpaka unitoe machozi
Yaani kila siku tu we ndo wa kuniliza
We ni binadamu gani au mwenzetu roboti
Unabembelezwa hutaki bembelezeka
Kwenye nyumba napoishi mwenzio nadaiwa kodi
Nishanganyikiwa nawe unaniendesha bora uhai wewe
Oh jamani niache nilewe ninastress mi
Nimeachwa na demu wangu nina stress mi
Niache nicheze nina stress mi
Napoishi ninadaiwa kodi nina stress mi
Niache nimwage nina stress mi
Nishavurugwa na maisha yangu nina stress mi
Mwache huyo dada anastress huyo
Ameachwa na bwana wake ana stress huyo
Ah mziki furaha yangu usinizuie (Niache kidogo)
Kucheza ndo jadi yangu usinishike (Niache kidogo)
Pombe hujanunua wewe usinifokee (Niache kidogo)
Ee bwana tafadhali ebu nipishe (Niache kidogo)
Ooh pombe mbaya hizo
We jamani kalewa anamwaga radhi haoni haya huyo
Huyo mbele haoni huyo
We kachanganya chingili na K Vant anayumba kaja kicheni
Oh jamani niache nilewe ninastress mi
Nimeachwa na demu wangu nina stress mi
Niache nicheze nina stress mi
Napoishi ninadaiwa kodi nina stress mi
Niache nimwage nina stress mi
Nishavurugwa na maisha yangu nina stress mi
Mwache huyo dada anastress huyo
Ameachwa na danga lake ana stress huyo
Ohooo masela jamani pombe
Pombe kweli mbaya
Huyu dada amelewa anacheza chura
Haoni haya
Ohooo masela jamani pombe
Pombe kweli mbaya
Huyu dada amelewa anacheza chura
Haoni haya
Kware nionyeshe unacheza miuno ya kuachika po
Ama huzuni huyo dada ameachika huyo
We taratibu unakata ameachika po
Balaa MC 26 na sita kipaji
Ah nikiwa vinanda classic eeh
Eh nikiwa na producer fadhili chu chu chu
Team ile ile 26 kipaji.....
Ecouter
A Propos de "Stress "
Plus de Lyrics de BALAA MC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl