...

Paroles de Kionjo Par BOUTROSS


Ahaa aaha

Slim waist big bomoa

Hao madem na wa penda na hiyo order

Ni mrich big sponsor

Maneno mingi hazi pendi na mlola

Slim waist big bomoa

Hao madem na wa penda na hiyo order

Ni mrich big sponsor

Maneno mingi hazi pendi na mlola

Siezi kiwa huyo msee wa ku kuimbia zeze

Comfort yourself before uni ongeleshe

Nili para father nikiwa confession ati si wa mine nili kuwa na protection

Na uliza mbona iko tight na ni buggy jeans

Aje ati nik a freak na maish

Ati ni bigi hauwezi as in

Na niko na degree ya freaky touching

Haya basi we wape

Kidogo ah kionjo ah

Kidogo ah Kionjo ah

Kidogo ah Kionjo

Zile flani tamu tamu rojo rojo

Haya basi we wape

Kidogo ah kionjo ah

Kidogo ah Kionjo ah

Kidogo ah Kionjo

Zile flani tamu tamu rojo rojo

Si uko na pick lines

Me niko na peek and peel

Uko speed dial niko dnd

Na mweka KFC ukienda chicken

I mean feed hiyo kitu ndio ukuwe cushioned fiti

But uki dai mali you need the si kest skills

Na loyalty ya maboy wako thick as thieves

Ndio niki finya hiyo nganya ni fanye vera a steam

Ndio niki dinya huyo matha ajue gen sio Z

Slim waist big bomoa

Hao madem na wa penda na hiyo order

Ni mrich big sponsor

Maneno mingi hazi pendi na mlola

Haya basi we wape

Kidogo ah kionjo ah

Kidogo ah Kionjo ah

Kidogo ah Kionjo

Zile flani tamu tamu rojo rojo

Haya basi we wape

Kidogo ah kionjo ah

Kidogo ah Kionjo ah

Kidogo ah Kionjo

Zile flani tamu tamu rojo rojo

Siezi kiwa huyo msee wa ku kuimbia zeze

Comfort yourself before uni ongeleshe

Ecouter

A Propos de "Kionjo"

Album : (Single)
Année de Sortie : 2025
Copyright :
Ajouté par : Farida
Published : Aug 01 , 2025

Plus de Lyrics de BOUTROSS

BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS
BOUTROSS

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl