Sugua Paroles

BIG FIZZO Feat ELLY'S BOY , DOUBLE JAY & KIRIKOU AKILI Burundi | Bongo Flava,

Paroles de Sugua


Sugua sugua, sugua 
Sugua sugua
You already know

Nipe kwenye kisoda
Mtoto mzuri mbona unangonja ngonja?
Ati unataka kutoda nina kaboda boda
Sitaki zangu Tigo mi nataka Voda
Waulize wanao nijua wananiita kocha
Na piga four four juu wameshangoja
Kila kona ninayofika naacha vihoja

Katoto wee, katoto
Kanataka nikadanganye katoto
Katoto wee, katoto
Kanataka eti kanyonye katoto

Nifikishe kilele
Hadi mpaka majongoo
Nilale fofofo, fofofo
Oooh yeah, ooh yeah

Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Hata ndani bajaji
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Tunaimwagia nyagi
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Ukichoka unapewa maji
Kindaki ndaki, mama nipe kindaki ndaki

Sugua, sugua, sugua
Kama unasugua kizaka
Sugua, sugua, sugua

Ebu fanya fasta
Tayari huku moto umeshawaka
Njoo tufunge chaga
Tizi zimeanza yaani mchakachaka
(Ooh yeah)

Yaani ninja ninja
Njoo nikupige za kininja ninja
Dakika mbili za kuvunja vunja
Kwa giza nitakaba mi kuvunja vunja

Tausi eeh tausi
Sauti kama ndege tausi
Korosi eeh korosi
Usije ukanipiga korosi

Nipandishe kileleni mpaka majogoo
Nilale fofofo, yaani fofofo(Oohh..)

Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Hata ndani bajaji
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Tunaimwagia nyagi
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Ukichoka unapewa maji
Kindaki ndaki, mama nipe kindaki ndaki

Sugua, sugua, sugua
Kama unasugua kizaka
Sugua, sugua, sugua
Hata ukiwa kwenye kichaka

Aro, chami cha mende
Styli za si gwino tugende
Nyuma dembe dembe
Karibu ghetto nikupige nyembe

Wananiita dogo dogo huko mitaani
Ila shughuli pevu nikiwa chumbani
Dah! Inanoga gizani
Ongeza mautundu nikune kichwani

Tabasamu nione mwanya wako tu dada
Mpaka nashindwa kuongea nakuwa gugu gaga
Unanichanganya mpaka nachanganya mada
Songa karibu ukalie chako kigoda

Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Hata ndani bajaji
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Tunaimwagia nyagi
Kindaki ndaki, nipe kindaki ndaki
Ukichoka unapewa maji
Kindaki ndaki, mama nipe kindaki ndaki

Sugua, sugua, sugua
Kama unasugua kizaka
Sugua, sugua, sugua
Ata ikiwa kwenye kichaka

Sugua, sugua, sugua

BIG FIZZO (5 paroles)

Mugani Desire, plus connu sous le nom de Big Fizzo, est artiste chanteur originaire de Bujumbura, au Burundi.Il a commencé sa carrière à la fin des années 1990 avec le groupe de musique Nigga Sound. IL quitte le groupe et décide de se lancer dans une...

Laisser un commentaire