Paroles de Superman
Paroles de Superman Par BIG FIZZO
Ooh oh oh oh
Unanipa bure , so fine
Hadi natamani kujuwa kakufunza nini , woman
Mwanafunzi shule, mitihani
Maradhi nimeuguwa , zile njonjo zako na utani
Acha waseme umeniroga ( Roga)
Sijali wanayobwaga (Bwaga)
Eeh baby you're my woman oh
Kama ugali na mboga
Yako tamu imenoga
Eeh eeh
Moyoni futa mimi na wewe kuachana
Let me be your Superman, let me be your Superman
Na ikija vita, niko tayari kupambana
Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai , my woman
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai , my woman
Kama mapenzi ya kweli ni furaha , kujali
Just follow me , follow me
Waliokutesa na kukufanya usilali
Ni wao sio mi ,We ni follow mi
Follow, follow me
Umeishafika , tulia
Puuza wakikwambia
Kinachofata ni ndoa
Na na na na na na
Utamu umeishakolea
Na mama nishamwambia
Kwako nimejifia
Moyoni futa mimi na wewe kuachana
Let me be your Superman, let me be your Superman
Na ikija vita, niko tayari kupambana
Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai , my woman
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai , my woman
Ecouter
A Propos de "Superman"
Plus de Lyrics de BIG FIZZO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl