BETTY BAYO Halali cover image

Paroles de Halali

Paroles de Halali Par BETTY BAYO


BETTY BAYO – halali

Aaaaaaaah… Halalil…
Hasinzii Hummm
Halalii … Hasinzii
Halalii… Hasinzii

Muda wote yumacho tu
Hasinzii…
Mungu halalii Hasinzii

Tukwachia weeee
Yahweeh (Yaweeeh)
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh (Tunakuachia babaa)
Tukwachia weeee
Yahweeh aaaaaaah

Jehovah asipo Linda jua walinzi
Wafanya kazi burree
Asipo Linda mjue ma soldier wafanya kazi buree
Asipo Linda maisha yako
Utang’ang’ana bureeee
Asipo Linda mjue walinzi wafanya kazi buree
(Inchi yetu)

Tukwachia weeee Yahweeh
(twakwachia babaaa)
Weeeee
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh

Mbona uhangaike weee
(Mama weee)
Mbona usononekeeee
Mama weee
Uangalie ndege wa aangani
Hawapandi tena hawavuni
Hawavuni pia hawakusanyi
Waoooo Hawaangaiki
Baba yetu aliye binguni awalisha wote
Baba yetu aliye aliye binguni awalisha haoooo

Mwachie
Mwachie mungu mwachie
Mwachie Yahweh mwachie
Nasi wewe ni bora kuliko hao mwachieee

Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Miujiza yake halali
Sio siri
Tena kunanga logaa
Hasikii
Hakuna mahali hafikii
Vita vyake hatari Sanaa hashindwee

Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh

Jehova angikurokera
Akurore na rotho
Ria thaa
Atue itwa gukuhangera
Unataree muroteree
Ikite kuwin lottery
Unatari murotere
Ikirité kuwin lottery eeehh

Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Tukwachia weeee
Yahweeh
Halali...
Hasinzii…
Halali...
Hasinzii…
Mingu Halali...
Hasinzi…

 

Ecouter

A Propos de "Halali"

Album : Halali (Single)
Année de Sortie : 2018
Ajouté par : Afrika Lyrics
Published : Aug 28 , 2018

Plus de Lyrics de BETTY BAYO

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl