
Paroles de Tisa
...
Paroles de Tisa Par BEST NASO
Ni best yule mwana wa naso
Nah ii ni yako wewe jama kimeniponza kiherehere
Na sitorudia kupenda tena kila mchumba
Sasijana nimekutana na kababy hako
Mama yangu sijui ni karoboti
Au kajini jaman tutakuja kufa
Nkakachapa swaga mi si nmelo wa madanga
Hakakugoma yani mseleleko yani kitonga
Kimenikoma kilanga jamani unaweza kufa
Eti mtu gani anataka kila saa
Na ukimpa shughuli yale ni balaa
Inawaka moto
Jamani nimepindishwa tisa inawaka moto
Jamani tisa inawaka moto
Ehh inawaka moto
Usione nasinzia ovyo nimekesha
Jana nimekesha
Jamani kilichonikuta nimekesha
Sijalala hata kidogo nimekesha
Jamani nimekesha
Nimekesha miee
Oohhh konii
Oohhh konii
Oohhh konii
Kina dada wanapenda konii
Mbomboo mboo mboga za majani
Mbo mbom mboo ni nzuri kwa ugali
Rashidi motto wa shabani kataka kuoa
Mtoto mzurii anita, michango ikapita
Ohh majita mambo ya mahali
Kalipa ndoa ikapangwa
Siku ya saba anita akagoma
Anasema eti mshkaji ni noma
Eti mtu gani anataka kila saa
Na ukimpa shughuli yake ni baba
Mpaka inawaka moto
Jamani nimepindishwa tisa inawaka moto
Jamani tisa inawaka moto
Ehh inawaka moto
Usione nasinzia ovyo
Jamani kilichonipata nimekesha
Sijalala hata kidogo nimekesha
Jamani nimekesha
Nimekesha miee
Mwenzenu kilichonikuta nimekesha
Aiyoooo lololoo
Maboga hayo maboga hayoo, kwetu yanaliwa mboga
Lakini mjini fasheni, kwetu yanaliwa mboga
Haya kipalangoto ya moto, kwetu yanaliwa mboga
Oya ukimshika mtie ngoto, kwetu yanaliwa mboga
Ecouter
A Propos de "Tisa"
Plus de Lyrics de BEST NASO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl