
Paroles de Dakika 1
...
Paroles de Dakika 1 Par BELLA KOMBO
Nina neno moja nataka niseme Sema
Nina neno moja nataka niseme Sema
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Nina neno moja nataka niseme Sema
Nina neno moja nataka niseme Sema
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Wale Tisa mi sijui wako wapi
Nimekuja hapa na neno moja Baba yo
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Wale Tisa mi sijui wako wapi
Ila Nimekuja hapa na neno la shukurani
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Sio fedha sio mali vilivyo nibeba
Ni neema yako nimefika hapa
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Sio fedha sio mali imenibeba
Bali Ni neema yako nimefika hapa
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Kumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu
Amenikumbuka Yesu
Ameondoa aibu Yesu, Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya , kanikumbuka
Kanikumbuka Yesu Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu
Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu
Amenikumbuka Yesu
Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu
Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu Kanikumbuka Yesu
Ameondoa aibu Yesu
Amenifuta machozi Yesu
Amenipa jina jipya Yesu Naomba
Dakika moja Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Dakika moja Dakika moja Niseme
Dakika moja Dakika moja Nipewe
Ecouter
A Propos de "Dakika 1"
Plus de Lyrics de BELLA KOMBO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl