Paroles de Tell Me
Paroles de Tell Me Par BEKA FLAVOUR
Why umeshika shavu, au kuna kitu mbaya my love
Mmmh wapi nimekosea nieleze kushoto wangu ubavu mmmh
Mapenzi ni mchezo wa kubembelezana
Kama nimekosea niambie nikuombe msahama
Mbona sioni cheko kama juzi na jana
Labda ungenigusia nielewe kipi cha kufanya mmmh
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada
Najua moyo wako wakaba ila mumeo pembeni sina kimada eeh
Ni malaika labda anaejua nilipokosea mada
Najua moyo wako wakaba ila mumeo pembeni sina kimada
Basi baby mama, tell me tell me tell me
Kama nimekukosea sana, tell me tell me tell me
Mmmh baby mama, tell me tell me tell me
Kama nimekukosea sana, tell me tell me tell me
Kama ndoa tutafunga nilishasema
Vumilia baby bado mapema
Mambo mengine mpaangali maulana
Hei sasa nimeelewa vema
Uliona maseli kwenye simu yangu
Hilo najua ndo lilikuchengua
Ule muamala nilituma kwa mama
Ila namba yake sikutumia
Subiri subiri my dear
Tamanio lako me nalijua
Amini amini siunajua
Huu mtima wangu nimekupea
Mmmh ni malaika labda, anaejua nilipokoea mada
Najua moyo wako wakaba, ila mumeo pembeni sina kimada eeh
Eeh ni malaika labda, anaejua nilipokoea mada
Najua moyo wako wakaba, ila mumeo pembeni sina kimada
Basi baby mama, tell me tell me tell me
Kama nimekukosea sana, tell me tell me tell me
Mmmh baby mama, tell me tell me tell me
Kama nimekukosea sana, tell me tell me tell me
Me and you
Si ulisema tutakufa wote baby
Me and you
Si ulsema tutaishi wote baby
Me and you
Me and you
Me and you and you and you
Ecouter
A Propos de "Tell Me"
Plus de Lyrics de BEKA FLAVOUR
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl