Paroles de Hamtoboi
Paroles de Hamtoboi Par BEKA FLAVOUR
Kama penzi kikohozi
Si akuoe
Na kama kweli ana mapenzi nawe
Si akuoe
Unajidai kumpo po po post
Ili tumuone
Kumbe mwenzako ana wake mpenzi
Hakupenda hata tone
Na kwako ana pretend love, pretend love
Ana pretend love
Akipata mpya anakimbia
Na kwako ana pretend love, pretend love, pretend love
Hata mashemeji zako wanalijua
Hilo
Unasema mmejipata
Tuwape siku ngapi
Tuwape siku ngapi
Hamatoboi
Anasema wamajipata
Tuwape siku ngapi
Tuwape siku ngapi
Hamatoboi
Kwanza huyo demu anaonekana
Wengi anawadanganya aah
Ata huko tiktok, iG, Facebook
Anapostiwa sanaaa
Mwanaume mwenzetu kutwa kujishaua
Kumpost sana aaah mmmh
Unalamba hieo lips, eti mnapendana
Akipostiwa mwenzio status hauoni
Anakuweka hide
Aibu twaona sisi, mashemeji ooh
Kama mwana anakupenda mpigie simu sasa
Mdanganye una mimba, umuone atavyochimba
Atakavyokimbia
Huyo demu hajakupenda ni pesa amezifata
Hebu acha ujinga ni bora ukajenga
Hata nyumba itakusaidia
Na kwako ana pretend love, pretend love
Ana pretend love
Akipata mpya anakimbia
Na kwako ana pretend love, pretend love, pretend love
Hata mashemeji zako wanalijua
Hilo
Unasema mmejipata
Tuwape siku ngapi
Tuwape siku ngapi
Hamatoboi
Anasema wamajipata
Tuwape siku ngapi
Tuwape siku ngapi
Hamatoboi
Ecouter
A Propos de "Hamtoboi "
Plus de Lyrics de BEKA FLAVOUR
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl