Paroles de Isweke
Paroles de Isweke Par BARNABA
Nikwambie nini?
Nakupenda pekee halitoshi
Nimezama, wewe ndoano
Mie samaki naye karibia chambo
Kama maji yakiwa mtungini
Niseme nini?
Na uko akilini yeah eeh
Kama wanitongoza
Najiuma uma najing'ata vidole
Haiba ya upole yanijaa
Utadhani msichana
Oooh mie wako
Mfungwa gereza la mapenzi
Pingu za nini?
Na uko akilini yeah eeh
Kama wanitongoza
Najiuma uma najing'ata vidole
Haiba ya upole yanijaa
Utadhani msichana
Beiby,
Zile mambo za kufosi mapenzi
Wakati haupendwi mimi sinaga
Mimi sinaga
Mmmh Alhamdulillahi
Situmii mudende(Isweke)
Nimejaliwa jembe(Isweke)
Kuna muda nalima(Isweke)
Kuna muda navuna(IIsweke, Isweke)
Mara vumbi la kongo(Isweke)
Korosho kidogo(Isweke)
Pweza twende migo migo(Isweke)
Izo mambo sinaga(Isweke, Isweke)
Zile mambo za kulipa room
Kwa nyumba za wageni showtime sinaga
Zile mambo za huyu wa kudumu
Pembeni vidumu izo mambo sinaga
Eti kibao kata kwa Wanjala
Sare kwa Kajala hizo hanaga
Zile mambo za danga Dubai
Mume yuko Manzese wangu hanaga
Kama maji yakiwa mtungini(Nimepoa)
Niseme nini(Nimelowa)
Na uko akilini iyeee eeh
Kama wanitongoza
Najiuma uma najing'ata vidole
Haiba ya upole yanijaa
Utadhani msichana
Oooh mie wako
Mfungwa gereza la mapenzi
Pingu za nini?
Na uko akilini yeah eeh
Kama wanitongoza
Najiuma uma najing'ata vidole
Haiba ya upole yanijaa
Utadhani msichana
Beiby,
Zile mambo za kufosi mapenzi
Wakati haupendwi mimi sinaga
Mimi sinaga
Mmmh Alhamdulillahi
Situmii mudende(Isweke)
Nimejaliwa jembe(Isweke)
Kuna muda nalima(Isweke)
Kuna muda navuna(Isweke, Isweke)
Mara vumbi la kongo(Isweke)
Korosho kidogo(Isweke)
Pweza twende migo migo(Isweke)
Izo mambo sinaga(Isweke, Isweke)
Ecouter
A Propos de "Isweke "
Plus de Lyrics de BARNABA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl