Paroles de Mawazo
Paroles de Mawazo Par BARAKAH THE PRINCE
Eeeh… yeaaaah… Hmmm
Nilisha afanyia makeke
Mapepe malipo yakawa makuzi
Kwakuchukuliwa mke bwana
Nikamwaga pesa zote
Kote yakanifanya mpuuzi
Acha adhabu nishike jamaa
Hiyo yote niliamini mepenzi ni imani ooho
Na kuhonga nilidiliki mpaka magari yeah
Bado yalinidhibiti mapenzi jamani oh yeah
Bado pia pia niliyaongezea sikukimbia
[CHORUS]
Oooh mawazo (oooh jamani)
Oooh mawazo, Mawazo, mawazo
Ooh mawazo
Yalinikata usingizi
Yalinikomesha mawazo
Ya mapenzi
Mawazo, (ooh) mawazo mawazo
Ooh mawazo ooh
Na bado niliyathamini
Mambo mengi unaweza tedwa
Wala usiji pump ukarudia kupenda
Mambo mengi unaweza tedwa
Wala usiji pump ukarudia kupenda mawazo
Na lililokua kubwa hitaji langu mapenzi
Bado yakawa ni maigizo kwangu ushenzi
Yalirudisha nyuma ilo imani yangu ya penzi
Ni vigumu kuamini
Yapo mapenzi pasina penzi
Maana upo mawazo (Mawazo mawazo)
Mawazo mawazo
Yalini kondesha
Nilibaki mifupa sababu ya mawazo
Ooh mawazo Mawazo mawazo
Yaliniumiza mawazo
Mwenzenu she broke my heart
[CHORUS]
Oooh mawazo
Oooh mawazo, mawazo, mawazo
Ooh mawazo oh mama
Yalinikata usingizi
Yalinikomesha mawazo
Mawazo, (ooh) mawazo mawazo
Ooh mawazo ooh
Na bado niliyathamini
Eeehhhh
Na bado niliyathamini
Mambo mengi unaweza tedwa
Wala usiji pump ukarudia kupenda mawazo
Ecouter
A Propos de "Mawazo"
Plus de Lyrics de BARAKAH THE PRINCE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl