Paroles de Yanachosha
Paroles de Yanachosha Par BARAKAH THE PRINCE
Kama ningeweza kupata ushauri
Hila tatizo maumivu ya mapenzi
Hayawezi kushaurika
Nakama nikuweza kupa moyo kiburi
Kutharau na kupuuza yote yanayo fanyika
Liko wapi shama la penzi
Palipo pandwa mapenzi ya kweli
Name nikavune upendo nasio kila siku kejeli
Wako wapi wagwea mapenzi wakanipe mafunzo jamani
Name nikajue yatakacho labda nip ninapo feli (yanachosha)
Matendo yako ya kila siku (yanachosha)
Maumivu yako akili yangu (yanachosha)
Uuh uuuh uuuuh (yanachosha)
Kwani nauona mwisho wako na wangu mama
Tatizo bado kwako nangangana na sioni nacho ngangania
Hila najua upo mwisho wa maumivu pindi nitapo disappear
Nikinyanyua upendo weh unangusha
Nikiweka malengo weh unayaruka
Nini unataka mbona unanichosha mmmh
Aki unchosha (yanachosha)
Kwani matendo yako ya kila siku (yanachosha)
Maumivu yako akili yangu (yanachosha)
Uuh uuuh uuuuh (yanachosha)
Kwani nauona mwisho wako na wangu mama
Kama ni ubwege me ni bwege sawa
Kila kisifanye ukaotambao
Kwani mwisho jua lazima kuzana
Nitazama penzi litanizamisha
Kama ni ubwege me ni bwege sawa
Kila kisifanye ukaotambao
Kwani mwisho jua lazima kuzama
Nitazama penzi litanizamisha
Nikinyanyua upendo weh unangusha
Nikiweka malengo weh unayaruka
Nini unataka mbona unanichosha
Eeeh baby unachosha
Nikiweka malengo weh unayaruka
Nini unataka mbona unanichosha
Nini unataka baby aki unachosha (yanachosha)
Ecouter
A Propos de "Yanachosha"
Plus de Lyrics de BARAKAH THE PRINCE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl