Paroles de Watete
Paroles de Watete Par B CLASSIC 006
Sijui nikuite jina gani
Ama nikuite baby
Umenificha ndani ndani
Ama nikuite cherrie
Susua, macho na tabia twaendana
Aah kachora tattoo kwenye paja ang'ara
Zidisha chumvi unikoshe
Nipe kwa mapana nikoroge
Ikishuka chini irejeshe
Achana na mafisi watete
Vile unanibembeleza
Kama ni usingizi doro, mi doro
Ata waseme watachoka
Kwako mi nibaki solo, mi solo
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Unavyosogea nah nah nah
Napata goosebumps na na na
Come taste my banana
Gal you make me loco
Nikupe pochi baby nah nah nah
Upate joto kidogo
Ikikupana nyonya na nah nah nah
Gal you make me loco
Unavyonibembeleza
Kwenye usingizi doro, mi doro
Hata waseme watachoka
Kwako mi nibaki solo, mi solo
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Ulivyofundi unajua kukata
Wachenga chenga kama Wanyama
Unavyonipa mwenzio nadata
Sasambua nionyeshe shanga
Unavyokata ndo mi nadata
Nichambue kama karata
Unavyonibembeleza
Kwenye usingizi doro, mi doro
Hata waseme watachoka
Kwako mi nibaki solo, mi solo
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Aah watete, aah watete
Aah wate wate wate watete
Ecouter
A Propos de "Watete"
Plus de Lyrics de B CLASSIC 006
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl