Paroles de Faraja
Paroles de Faraja Par B CLASSIC 006
Naomba nafasi nipate pa kuegemea
We ndo chaguo langu mwenzako nishakuzoea
Nakupa moyo wangu usije ukauchezea
Na kamwe sitakukosea tu nikaitunza heshima yako
Mwenzako mi nina moyo wa upole
Na nimeridhi kwa mama
Wameze quinin oh my love
Wasije kuvuruga penzi letu
Mmmh unapendeza sana
We ndo malkia nimeshakuweka moyoni
Mmmh na nitachofanya
Kwako nitaweka heshima sana
Oooh beiby chuku chuku
Unapendeza hata ukisuka matuta aii
Umenitoa suku
Kwa love yako nitaienzi milele
Sijaona kama wee
Be my queen
Nikupeleke kwa mama ee
Ukamuone baba, my one and only queen
Ukipata joto nkupepeee
Nikupepeee
Nikupe mavitu usichoke
Usichokee
Nikiwa wa baridi baridi
We ndo langu joto
Nikiwa wa baridi baridi
We ndo langu joto
Kwa shuka vile unenifariji
Mpaka napata naota
Kwa shuka vile unenifariji
Mpaka napata naota
My baby time
Kwako milele sitoki
Ulichonipa jana sisahau
Na vile umejibeba
Sina maswali juu yako wee
Naomba tusafiri wote
Hii meli ya kwetu
Unanipa doze we ndo unaniponya
Na kama kivuko nishakisoma
Ooh basi tena we ndo langu tele
Nakupenda sana
Ukipata joto nkupepeee
Nikupepeee
Nikupe mavitu usichoke
Usichokee
Nikiwa wa baridi baridi
We ndo langu joto
Nikiwa wa baridi baridi
We ndo langu joto
Kwa shuka vile unenifariji
Mpaka napata naota
Kwa shuka vile unenifariji
Mpaka napata naota
Come close to me
Baby I wanna show you my love
Usiniache mi
Kwangu we bahari niogelee
Ecouter
A Propos de "Faraja "
Plus de Lyrics de B CLASSIC 006
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl