Korasi Lyrics
Korasi Lyrics by FID Q
Nianze kwa kusema asante kwa kukupata beiby
Ungesema hunitaki ningedata maybe
Mie niliwatosa hadi washikaji ili kukufuata beiby
Na unavyonikosha zaidi ya maji nimechakacha beiby
Beiby you make me feel like a star
More than fame, more than fast cars
Nikiwa nawe ninafly sky high
Kama nimepiga ssshh, Napepea so high
Sio longo longo love ya uongo na kweli
Longo longo haina mchongo love, moyo wangu ushafeli
Bila hongo mbongo halienzi, hayo ni mapenzi ya kitapeli
Hivyo hakuna manfongo ataeleta ushemeji wa Singeli
Hiki kitu ni real sio kitu feki
Unavyofanya nafeel kudadadeki
Tunapiga madeal pata masenti
Home ni kuchora saba ka napiga deki
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Hili penzi linanifanya mpumbavu
1+2 sielewi watchu have
Wengi wakija ninawapiga makavu
Ila kwako nilivyodata ninakupa utamu kavu
Yule wakugomba ni mizenguo furaha hataki
Nikabaki kama Longomba funguo nitaipata wapi?
Akiwa sawa, mnaenda sawa tu mnapeta
Akiwa vibaya hugeuka dawa isiyonyweka
I know am Gangsta, nipende hivyo hivyo
Sitafunga kanga wala dera sina hizo
Tutapiga kazi, tuwe wote kwenye hustle
Bonnie & Clyde mixer pesa kwenye macho
Ninakuita jino bovu kila mtu anataka akung'oe
Unaniita hofu kila mtu anataka anitoe
Hawataki nikuoe ili tutimize nusu ya dini
Waambie wapige mswaki ndipo wabonge kuhusu mimi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Koorasi, koorasi
Tunataka koorasi
Tunataka koorasi
Watch Video
About Korasi
More FID Q Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl