Ngoma Lyrics
Ngoma Lyrics by FENA GITU
Aki Aki Why, Aki Aki Why
Aki Aki Why Lie (Wanapenda hizi Ngoma)
Aki Aki Why, Aki Aki Why
Aki Aki (Wallahi wanapenda hizi Ngoma)
Aki Aki Why, Aki Aki Why
Aki Aki Why Lie (Wanapenda hizi Ngoma)
Aki Aki Why, Aki Aki Why
Aki Aki (Wallahi wanapenda hizi)
Africa nzima wanikubali
Uuh wanikubali
Waseme me ni mnoma, ahhh
Nataka Bimmer nataka gari
Nataka nyumba ya kifahari
Nile hepi Kigoma
Kwa kina Ndosi Nyama Choma aah
Ndio, ndio wale walinipa kisogo
Wanione kwa mbali mimi sifi roho
Samahani mimi si kidogo, hey
Put some respect on it, before you come at me
I work too hard to be where I be
Nikifika far, nilikuwa jam nakam
Mlinishikilia day one (Me hear dem say)
Who’s that Girl (ah di East African gal dem killer)
She’s that Girl (ni Mama Yao, Mama Yao)
Who’s that Girl (issa Fenanananana)
She’s that Girl (oh you know)
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Uuh Ngoma tam, Ngoma tam
Tamu sana ona vile wanadance ay
The way I leave them in a trance
Number one, me nah gi’ de man a chance ey
Ndio wajam, ndio wajam
Nataka wajam juu ya ile speedy ninakam
Wanajam, watajam
Now ring the alarm, Ring the alarm
Pass me di kush, pass me di lighter
Mash up di tune zikikunice
Pass me the booze we cruise tonight, Hey
Tunaburn tonight
Pass me di (Cough cough)
Di Lighter
Leo tuna bouger bouger tonight
Leo bouger bouger tonight
Who’s that Girl (Ah di East African gal dem killer)
She’s that Girl (Ni Mama Yao, Mama Yao)
Who’s that Girl (Issa Fenanananana)
She’s that Girl (Oh you know)
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Wanapenda hizi Ngoma
Watch Video
About Ngoma
More lyrics from Black & Gold (EP) album
More FENA GITU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl