Jirani Amenimada Lyrics
Jirani Amenimada Lyrics by FAITHSTAN
Jirani ananimada
TTTTTTT
Wowowowowowowooo ooh
Mama wololo ananimada
Mwenzenu mi napagawa
Amejibeba mwenzenu mi napagawa
Its your girl Faith Stan
Worldwide
Are you ready for me?
[Timmy Tdat]
So umefika aje neighbour na vile umejibeba
Si 1st of May but nduru ni za labour
Okay na deliver so nduru ni za labour
Si kutuma barua lakini umejileta
Nina kakitu tamu kuliko pesa
We ni mtoto wa campo so nakutesa
Cheki nyuma ni biggy but mbele iko lesser
Nyumba ni safi nakanyaga ka lesser
Makarao hawanipendi ju sina kitu kidogo
We unaipenda ju ni kubwa tu kidogo
Unanichokoza nikupige maviboko
Na mi ni mchafu nilichoresha fika Mavoko
Mama wololo jirani ananimurder (Ananimurder)
Amejibeba, mwenzenu minapagawa (Mi napagawa)
Mama wololo, jirani ananimurder (Ananimurder)
Amejibeba mwenzenu minapagawa
I like the way you look at me
Boy can I come closer
I like the way you lift that thing
Babe can I come over
Jirani jirani
Mi nawewe tupendane
Uje kwangu nije kwako
That's the deal my neighbour
Jirani jirani
Mi nawewe tupendane
Uje kwangu nije kwako
That's the deal my neighbour
(FaithStan)
Sijapata kama wewe, kijana uko sawa
Kuna nini kwako leo unakasafisha
Ati parte after parte lazima nifike
My type, my type, call me doctor love
Mama wololo jirani ananimurder (Ananimurder)
Amejibeba, mwenzenu minapagawa (Mi napagawa)
Mama wololo, jirani ananimurder (Ananimurder)
Amejibeba mwenzenu minapagawa
I like the way you look at me
Boy can I come closer
I like the way you lift that thing
Babe can I come over
Jirani jirani
Mi nawewe tupendane
Uje kwangu nije kwako
That's the deal my neighbour
Jirani jirani
Mi nawewe tupendane
Uje kwangu nije kwako
That's the deal my neighbour
Mama wololo jirani ananimurder
Amejibeba, mwenzenu minapagawa
Mama wololo, jirani ananimurder
Amejibeba mwenzenu minapagawa
Makarao hawanipendi ju sina kitu kidogo
We unaipenda ju ni kubwa tu kidogo
Unanichokoza nikupige maviboko
Na mi ni mchafu nilichoresha fika Mavoko
Jirani jirani
Mi nawewe tupendane
Uje kwangu nije kwako
That's the deal my neighbour
Watch Video
About Jirani Amenimada
More FAITHSTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl