Nafsi yangu yakutamani by EPHRAIM SEKELETI Lyrics

nafsi yangu yakutamani roho yangu yaona kiu kama ayala atafutavyo maji ya mto baba nafsi yangu yakutamani nijaze na roho mtakatifu niweke karibu nawe nirejeshee furaha ya wokovu baba nafsi yangu yakutamani

Music Video
About this Song
Album : Nafsi yangu yakutamani ,
Release Year : 2019
Copyright : ©2019
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 08 , 2020
More Lyrics By EPHRAIM SEKELETI
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment