Madam Hero Lyrics

HAMISA MOBETTO Tanzanie | Afrobeats, Bongo Flava

Madam Hero Lyrics


Kila kikiambe asubuhii
Napata majaribu mengi na maaduii
Na binadamu wakali kama chui iiih
Najuiliza niende wapi nikaombe chaai
Wanangu walee
Wapoze njaaa (aaahh)

Nishachoshwa na njia za panya
Ni tayari hata kuuza nyanya
Wala sitojali huku kujulikana
Acha nipambane
Nishachoshwa na njia za panya
Ni tayari hata kuuza nyanya
Wala sitojali huku kujulikana
Acha nipambane
Acha nipambane

I wanna be
African number one fighter
I wanna be
African number one fighter

I wanna be madam hero
Kana mama samia
Madam hero ooh
Kama lupita nyong o
Madam hero ooh
Kama ivone chaka chaka
Madam hero ooh
Kama Miriam makeba

Tulidharaulika sana wanawake hatuwezi chochote
Dhamira hio nataka niivute
Hata nidhalilike wengi wanicheke
Hamisa sina lolote
Mimi si wao acha nipambane

Nishachoshwa na njia za panya
Ni tayari hata kuuza nyanya
Wala sitojali huku kujulikana
Acha nipambane
Nishachoshwa na njia za panya
Ni tayari hata kuuza nyanya
Wala sitojali huku kujulikana
Acha nipambane

I wanna be
African number one fighter
I wanna be
African number one fighter

I wanna be madam hero
Kana mama samia
Madam hero ooh
Kama lupita nyong o
Madam hero ooh
Kama ivone chaka chaka
Madam hero ooh
Kama Miriam makeba

Nitapambana kwa ajili yangu
Nitapambana kwa ajili yako
Nitapanbana kwa ajili ya wote
Africa
Nitapambana kwa ajili yako
Nitapambana kwa ajili yangu
Nitapanbana kwa ajili ya wote Africa
Aaahhhh

 

Leave a Comment