Nachotaka Lyrics
Nachotaka Lyrics by EMMA OMONGE
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Kama ayala atafutavyo maji
Zaidi ya udongo mkavu
Uonavyo kiu kwa tone la maji
Ilivyo nafsi yangu, isipo sema nawe
Ulivyo moyo wangu, nisiposhiriki na wewe
Kama samaki, nje ya bahari,
Sina uhaiiiii, nje ya hema yako,
Nataka nizame, nizame,nizame kwa pendo lako kuu
Nataka nizame, nizame,nizame kwa pendo lako kuu
Nakuhitaji eeeeeeie eeeh,ooooh
Nakuhitaji eeeeeh,eeeeeeeeeeeh, eeeeeeeh
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Nataka nikujue zaidi ya fahamu zangu
Naona nikuinue zaidi ya hitaji langu
Niloweshe kwa roho nikujue
Sura yako ung'ae usoni mwangu
Nataka nikutumikie, kwa nguvu mpya
Kisichowezekana, niwezesheee
Napopungukiwa,nineemeshe
Nakuhitaji Yesu, ooooh..
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Nachotaka niwe, ni wewe tu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Haja ya moyo wangu, Yesu mkuu
Watch Video
About Nachotaka
More EMMA OMONGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl