Hainaga Error Lyrics
Hainaga Error Lyrics by DOUBLE TROUBLE (KENYA)
One step ahead wakihate haina kesi
Hustlers ambition niko paper chasing
Life tumepewa is the life we embracing
Step to di mic, all dem gyals undressing
Tunawaleta center shutdown mitaa
Tushafunga city Center
Wakuje tucheze tupashe tumeze
This time round double Trouble inamada kila sector
Yeah! Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Fully kuridhika, apana tambua taabu
Sikosi michongo buda nakosa adabu
Bado niko ghetto na rap ndio sababu
One call away wana wakufungie mahesabu
Po-po! Pole me not sorry
Magical fingers nimekulia na ndole
Young generation ya Ohanga
Cheki industry nzima ikipagawa nawamanga
Yeah! Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Awaza, awazae
Awayuh, awayuh seh
Usini, usinizoee
Ukivuta sana nakuvutia bunde
Order, order zee
Kama hivi, wapotezee
Wasiku, wasikuzoee
Ila wakiyap yap sana watokezee (Wewe)
Yeah! Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Nahit naslit kwa street nacause terror
Naspit repeat am lit ndio nawakera
Natete-te-te tembeza sera
Round this na win na ngeli hainaga error
Watch Video
About Hainaga Error
More DOUBLE TROUBLE (KENYA) Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl