Shu! Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ


We zombie
Na samba la masimba dangotee
Eh bathi eh eh eh eh
Ah eh yah yah
Eh ai aih

Kibanebane
Mwisho kiliwe na nyenyere
Kibanebane
Mwisho kiliwe na nyenyere

Sibanik’iplatunium weeh
Kushi’inkanti khiph’inamba
Lentwana u-chley ntwana ishay’inamba
Ishay’inamba kuze kuse
Khush’I beverage tholakala
Jik’ubheke le cothoza
Bafun’ininja syabanika
Kph’idiamond tholakala
Sibanik’iplatuniun weeh
Kushi’inkanti khiph’inamba
Lentwana u-chley ntwana ishay’inamba
Ishay’inamba kuze kuse
Khush’I beverage tholakala
Jik’ubheke le cothoza
Bafun’ininja syabanika
Kph’idiamond tholakala

Engithi khiph’I diamond
Khiph’i diamond, khiph’I diamond
Thina sama grootman
Engithi khiph’I diamond
Khiph’i diamond, khiph’I diamond
Aii nawe tholakala
Engithi khiph’I diamond
Khiph’i diamond, khiph’I diamond
Thina sama grootman
Engithi khiph’I diamond
Khiph’i diamond, khiph’I diamond
Aii nawe tholakala

Shiii tjukut jukuuuu
Haaa tjukut jukuuuukuu
Iih tjukut jukuuuu
Haaa tjukut jukuuuukuu
Aii shukuuu shuku shuku
Shukuuu shuku shuku
Shukuuu shuku shuku
Iih shii tjukukukukuuu

We zombiii
Sandakalawe (Amen)
Mwenye kupata (Amen)
Nae akagawe (Amen)
Kwa anaye itaka (Amen)
Sandakalawe (Amen)
Mwenye kupata (Amen)
Nae akagawe (Amen)
Kwa anaye itaka (Amen)

Ukiileta kwa wahuni tunaila na hatutoi mbuni
Kwa utamu gani si ntaupata hata kwa sabuni
Ukijitia vihela tunavichuna na hatubakizi sumni
Maana umeyataka si unajifanya kibosi nyangumi
Eboo, kama kanajipitisha tu kakashe namba
Katemea kabisa saa kana ushamba
Kanapitapita tu akashe namba
Katemea kabisa kha kana ushamba
Kana hu, kana hu
Kana hu, kana ushamba
Kana hu, kana hu
Kana hu, kana ushamba

Shiii tjukut jukuuuu
Haaa tjukut jukuuuukuu
Iih tjukut jukuuuu
Haaa tjukut jukuuuukuu
Aii shukuuu shuku shuku
Shukuuu shuku shuku
Shukuuu shuku shuku
Iih shii tjukukukukuuu

Kibanebane
Mwisho kiliwe na nyenyere
Kibanebane
Mwisho kiliwe na nyenyere
Khiph’i diamond, khiph’I diamond
Aii nawe tholakala

Shukuuu shuku
Shukuuu shuku
Shukuuu shuku
Shukuuu aaahh
Shukuuu shuku
Shukuuu shuku
Shukuuu shuku
Shukuuu

Kama kanajipitisha tu hakashe namba
Katemea kabisa saa kana ushamba
Kanapitapita tu akashe namba
Katemea kabisa kha kana aushamba
Kana hu, kana hu
Kana hu, kana ushamba
Kana hu, kana hu
Kana hu, kana ushamba

Watch Video

About Shu!

Album : Shu! (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jul 04 , 2023

More DIAMOND PLATNUMZ Lyrics

DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ
DIAMOND PLATNUMZ

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl