Nimependa Lyrics by DEUS DERRICK


Mi sijuti, mi sijuti kupata wokovu
Angali kijana ayee
Nimepata amani iliyo ya kweli
Amani ambayo sikupata kwingine

Mungu naye jivunia 
Si Mungu niliyesikia
Ni Mungu ambaye nimeona akitenda
Kwake napata raha
Kila kitu nafanyiwa 
Sioni hasara Mungu ananipenda

Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 
Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 

Kuna changamoto hutokea katika safari ya wokovu
Ila mapito yako yanatendeka kwa wema
Piga simu, pigia rafiki zako simu wote leo uwaambie
Una shida sana unahitaji support

Ukimaliza pigia na Mungu wako goti
Kisha umwambie una shida sana unahitaji support
Hapo ndipo utaona nani anakujalia 
Atakaye kusaidia ah ayeee

Kwa Mungu wangu napata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda
Kwa Mungu wangu napata raha
Kila kitu nafanyiwa
Nina imani kwamba Mungu ananipenda

Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 
Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 

Maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako
Ungali kijana bado una nguvu
Hey maandiko yanasema mkumbuke Mungu muumba wako
Ungali kijana bado una nguvu

Usijidanganye eti bado ungali kijana
Unavunja mifupa mifupa kuokoka ni uzeeni
Kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa (Aah eeh)
Maisha ni mafupi sana muishie Mungu
Kweli kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa 
Maisha ni mafupi sana muishie Mungu

Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 
Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 

Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza 
Nimependa penda nimependa
Nimependa unavyonitembeza

Watch Video

About Nimependa

Album : Thanks for Coming (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 7Haven Music.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 29 , 2021

More lyrics from Thanks For Coming album

More DEUS DERRICK Lyrics

DEUS DERRICK

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl