Adabu Lyrics
Adabu Lyrics by DETY DARBA
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Why do you behave like that ?
Kwaninin hu control your ndomo?
Kwani wa ongeya ongeya
Ku ongeo ongeya tu
Wewe ni ndomo ndomo tu
Kupiga ndomo
I say why do you behave like that ?
Wa changanyisha hata nyumba Za watu
Jameni mbona swali nyingi?
Kwani we ni polisi?
Yaani wewe wajuwa kila kitu
Tika bizala zala eh
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Why ain’t you polite at all?
Kuingiya kwa watu na viatu
Ukivivuwa vinanuka
Wa tiya miguu mezani
Wasahau meza hiyo
Yatumiwa kwa chakula
Why ain’t you polite at all?
Officini za watu wasoma
Baruwa za watu
Officini umevuta sigara
Hiyo tabiya ni mbaya
We umefunzwa na nani ?
Hebu rehebisha!
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Umefunzwa na nani?
Umefunzwa na nani?
Umefunzwa na nani?
Umefunzwa na nani?
Ozalaka nayo très impoli
Ozalaka nayo très impoli
Ozalaka nayo très impoli
Ozalaka nayo très impoli
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Ozalakanayo impoli
Pona nini ozalaka bongo
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Hauna adabu , Hauna adabu
Watch Video
About Adabu
More DETY DARBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl