Mgani Lyrics
Mgani Lyrics by DAVID WONDER
David wonder,
Safi records yeah
Producer Paulo
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na si umwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Oooh mwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Na wacha tumuone akitembea juu ya maji
Anatuonea akifanya uponyaji
Samaki elfu tano, nitafanya ugawaji
Popote pote mahali watu watahitaji
Eh eh eh eh(eeeh..)
Nasema
Eh eh eh eh(eeeh..)
Ndio maana hakuna kama wee
Kama wewe Yesu
Kusimama nimesimama
Juu ni yako Yesu
Kama wee
Kama wewe Yesu oooh
(Paulo aah)
Hakuna kama wee
Kama wewe Yesu
Kusimama nimesimama
Juu ni yako Yesu
Kama wee
Kama wewe Yesu oooh, ooh oooh
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na si umwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Oooh mwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
So nikitembea tembea
Ni kwa jina lake
Ooh nikiongea ongea
Ni kwa jina lake
Mapepo kemea kemea
Ni kwa jina lake
Sio makerea kerea
Ni kwa jina lake
So asijitokeze mtu
Wa kujilinganisha na wewe
Ni wewe tu unajua wewe mwenyewe
Elshadai sifa upewe, hey hey
Ndio maana hakuna kama wee
Kama wewe Yesu
Kusimama nimesimama
Juu ni yako Yesu
Kama wee
Kama wewe Yesu oooh
(Paulo aah)
Hakuna kama wee
Kama wewe Yesu
Kusimama nimesimama
Juu ni yako Yesu
Kama wee
Kama wewe Yesu oooh, ooh oooh
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na si umwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Oooh mwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
So asijitokeze mtu
Wa kujilinganisha na wewe
Ni wewe tu unajua wewe mwenyewe
Elshadai sifa upewe, hey hey
(Eeeh..) (Eeeh..)
(Eeeh..) (Eeeh..)
(Eeeh..) (Eeeh..)
(Eeeh..) (Eeeh..)
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na bwana
Na si umwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Oooh mwambie ajitokeze
Eh eh eh eh(eeeh..)
Ooh ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo?
Hey, hey
Ooh ni mwanaume
Mgani huyo, mgani huyo
Wa kulinganisha na bwana. hey
Watch Video
About Mgani
More DAVID WONDER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl