Alaah! Lyrics by DANTEZ 254


Si unajua ni genje ni mbaya
Ni Dantez, Aha, Odi wa Murang'a
Motif Di Don

Ati Monday ni kazi
Tuesday ni ka tu Monday (Alaah!)
Wednesday sijali
Thusday nangoja Friday

Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)

Tuko ritho sai hadi mangware
Kina Kemboi wamefika na walalez
Hakuna gravity kwa mongo ni ma Barley
Najiskia kuna kakitu kwa wallet

Mtaani nilitoka hadi nikiwa munchez
Sikupitia kibandaski kwa mathe
Sai katumbo kamejaa kuna gases
Ju ya kunyonya jug si hatupendagi glasses

Nadhani sato nitakuwa na ganji
Ni nani atataka makali
Tayari buda sai niko maji
Na imagine Monday niko kazi

Mi ni big big boy siwezi guza toy
Mi si role model ni avoid
Namuona buda nikilewa 
Mi huharibu ganji nikisema pewa

Ati Monday ni kazi
Tuesday ni ka tu Monday (Alaah!)
Wednesday sijali
Thusday nangoja Friday

Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)

Oh lala Trio Mio balaa
Ma wikendi mi husere na maarif kadhaa
Na mapengting magirl wanasanif shasha
Meditating na tumbler ya kimratish kwa baa

Ngurumisha ngoko kama generator
Wengi wako kwa soko wanajileta leta
Mbona unafunga long short ka ni keleketa
Kijana kadogo kako inadi sekta

Ju ni wikendi leo tunableki
Hatuwezi kosa form buda kuna plan B
Tupitie Betty tunyonye irori
Leo pendo si manyoya kuna pongi
Ni personality gathee si matembe
Ju mangoko wanadai tuwakembe
Leo sikunywi Faxe nina uzembe
Niko Farmers Choice na sichagui jembe

Ati Monday ni kazi
Tuesday ni ka tu Monday (Alaah!)
Wednesday sijali
Thusday nangoja Friday

Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)

Ju leo chaser ni kupumua
Vile inafaa faa kupumua
Ju leo chaser ni kupumua
Vile inafaa faa kupumua

Ati Monday ni kazi
Tuesday ni ka tu Monday (Alaah!)
Wednesday sijali
Thusday nangoja Friday

Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)
Oh la la la la (Alaah!)

 

Watch Video

About Alaah!

Album : Alaah! (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 15 , 2021

More DANTEZ 254 Lyrics

DANTEZ 254
DANTEZ 254

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl