Jishushe Lyrics
Jishushe Lyrics by CORNELIO STEPHANO
Oooh oooh oooh oooh...
Yeah
Oooh...
Yeah yeah yeah
Oooh...oooh yeah
Watu wawili, walikwenda hekaluni
Mmoja farisayo na mtoza ushuru
Watu wawili, walikwenda hekaluni
Mmoja farisayo na mtoza ushuru
Yule farisayo aliomba hivi
Eeeh Mungu mimi si kama yule
Mi nafunga kwa juma mara mbili
Hutoa zaka katika mapato yangu
Mi nafunga kwa juma mara mbili
Hutoa zaka katika mapato yangu
Lakini yule mtoza ushuru
Alisimama mbali, akijipiga piga kifua
Akisema eeh Mungu uniwie radhi
Mimi mwenye dhambi
Lakini yule mtoza ushuru
Alisimama mbali, akijipigapa kifua
Akisema eeh Mungu uniwie radhi
Mimi mwenye dhambi
Yule mtoza ushuru
Alienda nyumbani
Amehesabiwa haki
Kwa kujishusha kwake
Yule mtoza ushuru
Alienda nyumbani
Amehesabiwa haki
Kwa kujishusha kwake
Unaeza ukadhani una haki
Wenzio wana dhambi kwenye ardhi
Utu unafichwa kwa vazi
Ukajikweza ukajiona uko safi
Kumbe wapi?
Kinacho hitajika ni nafsi
Amani na umoja tuko sawa kila mmoja
Hatutofika ka tunabaguana bila uoga
Tushikamane hakuna aliye mkamilifu
Tenda mema ila usijisifu
Yeah, yeah yeah
Ooh ndugu nijishushe
Mbele za Mungu
Akuongoze kwa wakati wake
Jishushe, jishushe
Ooh ndugu nijishushe
Mbele za Mungu
Akuongoze kwa wakati wake
Jishushe, jishushe
Ooh ndugu nijishushe
Mbele za Mungu
Akuongoze kwa wakati wake
Jishushe, jishushe
Eeeh yeah
Bwana anakuona wewe
Na moyo wako(Moyo wako)
Ibada yako(Ibada yako)
Mbele zake(Mbele zake)
Bwana anakuona wewe
Ukweli wako(Ukweliwako)
Na sadaka zake(Na sadaka zake)
Mbele zake(Mbele zake)
Oooh oooh...
Bwana anakuona
Oooh oooh...iyeee!
Watch Video
About Jishushe
More CORNELIO STEPHANO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl