Wote Wazuri Lyrics
Wote Wazuri Lyrics by BROWN MAUZO
Prrrrr! Ti ti ti Tdat
Ni Mauzo tukiwa na Brown
Bad Boy na Vicky Pon Dis, Tdat
Heey mr lover man, Kasabun
Niliona nyeupe nikataaka
Ilipopita nyeusi pia nikafaata
Uuh na mwenye shepu nilidata
Na kale kamchele shingo panga
Wanishika, wanishika hapo
Wanishika, wanishika hapo
Wanishika, wanishika hapo
Wote nikiwaona roho yangu yanienda mbio
Wanishika, wanishika hapo
Wanishika, wanishika hapo
Wanishika, wanishika hapo
Tamaa ikizidi popote kichinjio
Kuna wagunye wasomali wenye nywele za singa
Wazuri wa kusmile wenye lips za Pink
Raha unapewa mpaka unaeka Tick
Draft umecheza umefika King
Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri
Haa murder, murder, murder
Wananimurder, wote wazuri
Murder, murder, murder, wananimurder
Sin hunibamba so naipiga bila chesa
Nadia yuko poa ye najuwa tutatesana
Naenda roho Timmy ka you know Vanessa
Aki ye huniita known kama message za MPESA
Sitapenda choche ananitake fiti
Napenda yule busy pia hunilayia fiti
Na vile wamejaa hii ni gal Dem city
Nataka tu wasavage nyi ndo kitu you see
Kuhusu my ex, okay juzi amenitext
Okay si hubonga less tukipatana ni sex
Yule Bank kwake nina interest
Ndio maana time yangu kwake ninai invest
Ule ameokoka ye huniombea
Nikiwa mbali ni me anaekea
Ule wa uber si me ananiletea
Kuwa na dame mmoja si Ni unfair
Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri
Haa murder, murder, murder
Wananimurder, wote wazuri
Murder, murder, murder, wananimurder
Tipo tipo kibonge
Mtamu kama uji wa matoke
Ama utoke na kafupi kakonde
Kepesi kukabeba wala huchoki
Tipo tipo kibonge
Mtamu kama uji wa matoke
Ama utoke na kafupi kakonde
Kepesi kukabeba wala huchoka
Wote wazuri, wote wazuri, wote wazuri
Haa murder, murder, murder
Wananimurder, wote wazuri
Murder, murder, murder
Wananimurder, wote wazuri
Watch Video
About Wote Wazuri
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl