Sio Pombe Lyrics
Sio Pombe Lyrics by BROWN MAUZO
Nampenda mwambie sijalewa
Nampenda, mvute koti
Nampenda mwambie sio Pombe
Nampenda, atchuu!
(Toti on the Beat)
Eeh! Mvute koti!
Eeh! Aaah!
Mwambie nataka nicheze naye
Na baadae ngoma nitoke nae
Mwambie nataka nicheze naye
Na baadae ngoma nitoke nae
Anywe utakacho, waiter leta
Bill nitalipa asiwe na shaka, shaka
Anywe utakacho, waiter leta
Bill nitalipa asiwe na shaka, shaka
Nitalipa bill, leta leta
Waiter leta, unanichelewesha
Nampenda mwambie sijalewa
Nampenda, mvute koti
Nampenda mwambie sio Pombe
Nampenda, atchuu!
My dolly unichanganya, unanichanganya
My dolly unichanganya, unanichanganya
Today I wanna spend some money
Am ready to mingle niko single
Tupige sherehe, tupige sherehe
Today I wanna spend some money
Am ready to mingle niko single
Tupige sherehe, tupige sherehe
Katoto kamelewa, katoto kamelewa
Kanacheza!
Katoto kamelewa, katoto kamelewa
Kanacheki haka!
Katoto kamelewa, katoto kamelewa
Katoto kamelewa, katoto kamelewa
Nampenda mwambie sijalewa
Nampenda, mvute koti
Nampenda mwambie sio Pombe
Nampenda, atchuu!
Watch Video
About Sio Pombe
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl