Hakuna Kulala Lyrics
Hakuna Kulala Lyrics by BROWN MAUZO
Mwenye uroho, mwenye uroho baby
Jua Ukizingua utanichoma
Take it slow, take it slow baby
Unajua kunyembua nishakusoma
We ndo mmoja tu sukari
Tukiwa wawili gizani
We ndo mmoja tu sukari
Tukiwa wawili gizani
Yamenifika maji yapo kwa shingo
Vurugu umenishika mangoma mdundiko
Sioni noma nikikuwanga ata bingwa
Funga kibindo, ooh beiby
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
We ndio unaniwezaga, beiby
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
Me ndio unaniwezaga
Sema twendelee
Mbele kwa mbele
Ngoma inogere
Again, again, again
Oooh yeah
I hear your body calling now
(ah Naiboi)
I wanna give you something
Ah muda sasa ndo umefika
Kiuno iondoe sister
Ndio nikupe kadhalika(iyee)
Usiku waniita
I like the way you lick your lips
Touching me with your finger tips
Your goodie foodie ni tamu
Ovacado ndani ya kachumbari
Unitasti, me sitakuwasti
We ndo wangu kasi kasi, yeah
Tena sina brekii
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
We ndio unaniwezaga, beiby
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
Me ndio unaniwezaga
Unitasti, me sitakuwasti
We ndo wangu kasi kasi
Tena sina brekii
Sema twendelee
Mbele kwa mbele
Ngoma inogere
Again, again, again
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
We ndio unaniwezaga, beiby
Hakuna kulala, aha
Kesha na utamu wa banana
All night, tukipambana
Me ndio unaniwezaga
Watch Video
About Hakuna Kulala
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl