Aniote Lyrics
Aniote Lyrics by BROWN MAUZO
Mmmh...oooh
Yeah...mmh..ooh
Kinacho nilizaa
mazoeaa tulofanya
Mie na yeye
Pete yangu ulivuaa
Moyoni akanitoaa
Kasahau nilivyompenda
Kwanini aliniacha?
Ayayayaya...
Hivi kwanini aliondoka?
Ayayayaya...
Oooh
Muulize kwanini aliniacha?
Ayayayaya...
Hivi kwanini aliondoka?
Ayayayaya...
(Oooh oooh aah eeh)
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Aah, ooh kwanza mwambie
Niko mahututi mwenzake
Nje sitoki
Hata nikitoka labda nibebwe
Wala asione nadeka
Hivyo vyote avijue
Aah, nimedhoofika
Mwili umekonda tangu aliondoka
Ayayayaya...
Hivi kwanini aliondoka?
Ayayayaya...
Oooh muulize kwanini aliniacha?
Ayayayaya...
Hivi kwanini aliondoka?
Ayayayaya...
Oooh oooh aah eeh
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Aah, aje nideke nae
Ajee aje! aje!
Aah-ah, aje nizuge nae
Ajee aje! aje!
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Kutamani akilala aniote
Yeye yeye
Na aseme anajuta anifuate
Na aje, na aje
Watch Video
About Aniote
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl