Kokoriko Lyrics
Kokoriko Lyrics by BRIAN FEEL
Oh sweetty i understand
Oh standi standi
I stand up for you
Iwe kwa bed ama kwenye kiti kiti
Wapi tufanye kwighikwichi
Ivory pipi ya kijiti, sio mkongo
Ah nifunge zipu mama albadiri
Zisome tukeshe fofofo
Timbwili ghumbani bangili, aai tumbula naikula ya moto
Mpenzibangu nibangulie eeh eeh eeh
Nainyongota, nakunakulala eh eh eh Naisokota
Mpenzibangu nibangulie eh eh he
Nainyongota, nakunakulala
Yaani mpaka majocoo
Kokoriko kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba ooh yaani kokoriko
Ooh yeah kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba
Chumvini nauzamisha muhogo, tena jangombe
Ooh babe unaliona halifichiki, pembe la ngombe
Uantaka mbuzi kagoma kwenda
Bichi kidimbwi kama ghura
Kifo cha mende mpiga kura, wima wima
Au utanipa timbwili la vera na huddah
Vipi niokotee mpira
Wanafiki watoke bila bila, tuwazomee
Mpenzibangu nibangulie eeh eeh eeh
Nainyongota, nakunakulala eh eh eh Naisokota
Mpenzibangu nibangulie eh eh he
Nainyongota, nakunakulala
Yaani mpaka majocoo
Kokoriko kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba ooh yaani kokoriko
Ooh yeah kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba
Basi fanya ni kama unaichumaa
Unaichumaa, baby Unaichumaa my baby boo
Basi fanya ni kama unaichumaa
Unaichumaa, baby my baby boo
Kokoriko, kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba ooh yaani kokoriko
Ooh yeah kokoriko
Naizamisha chemba kwa chemba
Watch Video
About Kokoriko
More BRIAN FEEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl